Hatari ya Joto Kali Kombe la Dunia 2026!
⛔️ FIFPRO (umoja wa wachezaji duniani) wametoa wito wa mabadiliko ya haraka kuelekea Kombe la Dunia 2026 kutokana na joto kali linalotarajiwa kipindi cha mashindano hayo.
Mapendekezo yao ni pamoja na:
• Kupumzika kila baada ya dakika 15
• Mapumziko ya dakika 20 kipindi cha mapumziko
• Mechi kuchezwa katika muda wa hali ya hewa ya wastani
• Ukaguzi wa afya kwa kina kwa wachezaji kabla ya mashindano
• Mpango wa dharura endapo kutakuwa na onyo la hali ya hewa
Follow us Elly Sport

🌡️⚠️ Hatari ya Joto Kali Kombe la Dunia 2026!
⛔️ FIFPRO (umoja wa wachezaji duniani) wametoa wito wa mabadiliko ya haraka kuelekea Kombe la Dunia 2026 kutokana na joto kali linalotarajiwa kipindi cha mashindano hayo.
✅ Mapendekezo yao ni pamoja na:
• Kupumzika kila baada ya dakika 15 🧊
• Mapumziko ya dakika 20 kipindi cha mapumziko ⏱️
• Mechi kuchezwa katika muda wa hali ya hewa ya wastani 🌥️
• Ukaguzi wa afya kwa kina kwa wachezaji kabla ya mashindano 🏥
• Mpango wa dharura endapo kutakuwa na onyo la hali ya hewa 🚨
Follow us Elly Sport
0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·48 Visualizações