Barcelona imerudi kwenye mfumo wa 1:1

Javier Tebas amethibitisha kwa raisi wa clabu Joan Laporta imeweza kurudi kwenye mfumo huo

Barcelona itaweza kufanya usajiri wowote bila kizuizi cha fair play .

(Source: Diario Sport)

#SportsElite
๐Ÿšจ Barcelona imerudi kwenye mfumo wa 1:1 ๐Ÿ”™ Javier Tebas amethibitisha kwa raisi wa clabu Joan Laporta imeweza kurudi kwenye mfumo huo Barcelona itaweza kufanya usajiri wowote bila kizuizi cha fair play . ๐Ÿ’ฐ (Source: Diario Sport) #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท26 Views