Manchester United iko kwenye hatua za mwisho na Aston Villa ili kumsajiri Ollie Watkins.

Manchester hawatakuwa tayari kuwalipa Villa kiasi cha £60m kama wanavyo hitaji kutokana na umri wa mchezaji mwenyewe pamoja na thamani kwenye soko la usajili

(Source: Mirror Football)

#SportsElite
🚨 Manchester United iko kwenye hatua za mwisho na Aston Villa ili kumsajiri Ollie Watkins. Manchester hawatakuwa tayari kuwalipa Villa kiasi cha £60m kama wanavyo hitaji kutokana na umri wa mchezaji mwenyewe pamoja na thamani kwenye soko la usajili (Source: Mirror Football) #SportsElite
0 Commentarios ·0 Acciones ·16 Views