BREAKING : Uongozi wa Real Madrid C.F. pamoja na Xabi Alonso wako tayari kwa pamoja kumruhusu Rodrygo Silva de Goes kuondoka Klabuni hapo majira haya ya joto. Wamekubaliana kuwa klabu haitamzuia mchezaji huyo ikiwa ofa inayofaa itatolewa.


Source: [ MarioCortegana ]

#SportsElite
BREAKING ๐Ÿ”ด: Uongozi wa Real Madrid C.F. pamoja na Xabi Alonso wako tayari kwa pamoja kumruhusu Rodrygo Silva de Goes kuondoka Klabuni hapo majira haya ya joto. Wamekubaliana kuwa klabu haitamzuia mchezaji huyo ikiwa ofa inayofaa itatolewa. Source: [ MarioCortegana ] #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท4 Views