Inter Miami yahatarisha kupoteza €300M endapo Messi ataondoka!

Klabu ya Inter Miami inaweza kupata pigo kubwa kifedha ikiwa Lionel Messi ataondoka. Tangu ajiunge, wameingiza €265M kupitia tiketi za mechi na €29.7M kupitia Apple TV

#SportsElite
🚨 Inter Miami yahatarisha kupoteza €300M endapo Messi ataondoka! 😮📉 Klabu ya Inter Miami inaweza kupata pigo kubwa kifedha ikiwa Lionel Messi 🇦🇷 ataondoka. Tangu ajiunge, wameingiza €265M kupitia tiketi za mechi na €29.7M kupitia Apple TV 📺🔥 #SportsElite
0 التعليقات ·0 المشاركات ·8 مشاهدة