Barcelona inatarajia kufungua mazungumzo na Manchester United ili kuona uwezekano wa kumpata Marcus Rashford siku chache zijazo.

Rashford yuko tayari kwa uhamisho huo na anaamini mambo yataenda sawa

(Source: @Santi_J_FM)

#SportsElite
๐Ÿšจ Barcelona inatarajia kufungua mazungumzo na Manchester United ili kuona uwezekano wa kumpata Marcus Rashford siku chache zijazo. Rashford yuko tayari kwa uhamisho huo na anaamini mambo yataenda sawa (Source: @Santi_J_FM) #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท9 Views