ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Isak Jansson yuko mbioni kujiunga na OGC Nice kutokeanSK Rapid kwa gharama ya €10M na nyongeza zaidi..

Anatarajia kuwasili Ufaransa ndani ya masaa 24-48 kukamilisha uhamisho wake..

Jansson pia alikuwa anafatiliwa na vilabu kama Celtic na timu za Italia kabla kufanya maamuzi Nice.

#SportsElite
πŸš¨πŸ’£ ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Isak Jansson yuko mbioni kujiunga na OGC Nice kutokeanSK Rapid kwa gharama ya €10M na nyongeza zaidi.. Anatarajia kuwasili Ufaransa ndani ya masaa 24-48 kukamilisha uhamisho wake.. Jansson pia alikuwa anafatiliwa na vilabu kama Celtic na timu za Italia kabla kufanya maamuzi Nice. #SportsElite
0 Commenti Β·0 condivisioni Β·12 Views