𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Morgan Gibbs-White yuko mbioni kujiunga Tottenham Hotspur baada ya vipimo vya afya hapo kesho.

Tottenham Hotspur itatakiwa kulipa £60m kama Ada ya uhamisho Nottingham Forest.

#SportsElite
🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Morgan Gibbs-White yuko mbioni kujiunga Tottenham Hotspur baada ya vipimo vya afya hapo kesho. ⚪⚫ Tottenham Hotspur itatakiwa kulipa £60m kama Ada ya uhamisho Nottingham Forest. #SportsElite
0 التعليقات ·0 المشاركات ·19 مشاهدة