ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Nicolas Jackson ananafasi ya kuondoka Chelsea kwenye dirisha hili la uhamisho πŸ‘‹πŸΎ

Baada ya Noni Madueke kwenda Arsenal…ndio yatafuata kama ikipatikana ofa kwa timu itakayo muhitaji..

AC Milan imeulizia uhamisho huo wa Jackson.. Ijapo kuwa Chelsea imetoa gharama za uhamisho huo lakini AC kwao ni kiasi kikubwa.. .

#SportsElite
🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Nicolas Jackson ananafasi ya kuondoka Chelsea kwenye dirisha hili la uhamisho πŸ‘€πŸ‘‹πŸΎ Baada ya Noni Madueke kwenda Arsenal…ndio yatafuata kama ikipatikana ofa kwa timu itakayo muhitaji.. AC Milan imeulizia uhamisho huo wa Jackson.. Ijapo kuwa Chelsea imetoa gharama za uhamisho huo lakini AC kwao ni kiasi kikubwa.. . πŸ‡¬πŸ‡§ #SportsElite
0 Commenti Β·0 condivisioni Β·22 Views