Real Betis bado inashinikiza kumuhitaji Antony kutoka Manchester United, Betis imemuomba Antony apunguze kiasi cha mshahara wake ili iweze kukamilisha usajili wa kudumu..

(Source: Diario Sport)

#SportsElite
๐Ÿšจ Real Betis bado inashinikiza kumuhitaji Antony kutoka Manchester United, Betis imemuomba Antony apunguze kiasi cha mshahara wake ili iweze kukamilisha usajili wa kudumu.. (Source: Diario Sport) #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท98 Views