Klabu ya Everton imemkaribisha rasmi mshambuliaji chipukizi Thierno Barry ambaye awali alikuwa Villarreal. Barry, anayewakilisha timu ya taifa ya vijana ya Ufaransa chini ya miaka 21, sasa atakuwa sehemu ya kikosi cha Everton kwa mkataba wa miaka minne. DDiili hilo linaripotiwa harimu takribani pauni milionii 27.5.
#SportsElite
#SportsElite
Klabu ya Everton imemkaribisha rasmi mshambuliaji chipukizi Thierno Barry ambaye awali alikuwa Villarreal. Barry, anayewakilisha timu ya taifa ya vijana ya Ufaransa chini ya miaka 21, sasa atakuwa sehemu ya kikosi cha Everton kwa mkataba wa miaka minne. DDiili hilo linaripotiwa harimu takribani pauni milionii 27.5. 🔵
#SportsElite
0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·252 Visualizações