Yoane Wissa anashinikiza kutaka kuondoka Brentford dirisha hili. Nottingham Forest iko kwenye mazungumzo na Tottenham iko kwenye hatua nzuri zaidi sambamba na hilo pia Newcastle wao pia wanamtolea macho mchezaji huyo.

Brentford wanahitaji £50m, lakini vilabu hivyo vinaimani kiasi hicho kitapunguzwa.

(Source: @alex_crook)

#SportsElite
๐Ÿšจ Yoane Wissa anashinikiza kutaka kuondoka Brentford dirisha hili. Nottingham Forest iko kwenye mazungumzo na Tottenham iko kwenye hatua nzuri zaidi sambamba na hilo pia Newcastle wao pia wanamtolea macho mchezaji huyo. ๐Ÿ‘€ Brentford wanahitaji £50m, lakini vilabu hivyo vinaimani kiasi hicho kitapunguzwa. ๐Ÿค‘ (Source: @alex_crook) #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท63 Views