𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona imekamilisha usajili wa Roony Bardghji mdogo wake Rayan Bardghji ambae pia amesajiliwa dirisha hili hapo hapo Barcelona..

Kinda huyo mwenye umri 15 ni winga wa kushoto na ataanzia kujifua La Masia.

#SportsElite
🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona imekamilisha usajili wa Roony Bardghji mdogo wake Rayan Bardghji ambae pia amesajiliwa dirisha hili hapo hapo Barcelona.. Kinda huyo mwenye umri 15 ni winga wa kushoto na ataanzia kujifua La Masia. 🇸🇪 #SportsElite
0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·159 Views