𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Viktor Gyokeres ameuambia uongozi wa Sporting CP nia yake ya kwenda Arsenal, tayari Vilabu vyote viwili viko kwenye majadiliano na dili €80M.

Gyokeres amekuwa chaguo la Arsenal tangu September mwaka Jana..

#SportsElite
🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Viktor Gyokeres ameuambia uongozi wa Sporting CP nia yake ya kwenda Arsenal, tayari Vilabu vyote viwili viko kwenye majadiliano na dili €80M. 🔴⚪🇸🇪⌛ Gyokeres amekuwa chaguo la Arsenal tangu September mwaka Jana.. #SportsElite
0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·5 Views