𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Sporting CP imefikia makubaliano na Alberto Costa kwa mkataba hadi 2030 na Juventus atapokea €18 (pamoja na bonasi zote) ili kukamilisha dili hilo.

Juventus wanahitaji kiasi kikubwa zaidi ya ofa iliopo mezani, mazungumzo bado yanaendelea..

#SportsElite
🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Sporting CP imefikia makubaliano na Alberto Costa kwa mkataba hadi 2030 na Juventus atapokea €18 (pamoja na bonasi zote) ili kukamilisha dili hilo. 💚 Juventus wanahitaji kiasi kikubwa zaidi ya ofa iliopo mezani, mazungumzo bado yanaendelea.. #SportsElite
0 Комментарии ·0 Поделились ·2 Просмотры