OFFICIAL :Jude Bellingham anafanyiwa upasuaji wa bega lake la kushoto leo jijini London.
Atakaa nje ya uwanja kwa muda wa takribani miezi 2–3.
⚽️ Anatarajiwa kurejea uwanjani Oktoba, akiwa amepona kikamilifu kabla ya mechi kubwa za Real Madrid.


#SportsElite
🚨 OFFICIAL :Jude Bellingham anafanyiwa upasuaji wa bega lake la kushoto leo jijini London. 🔍 Atakaa nje ya uwanja kwa muda wa takribani miezi 2–3. ⚽️ Anatarajiwa kurejea uwanjani Oktoba, akiwa amepona kikamilifu kabla ya mechi kubwa za Real Madrid. #SportsElite
0 التعليقات ·0 المشاركات ·40 مشاهدة