| CONFIRMED

Wolves imekamilisha usajili wa nyota wa Fluminense, John Arias kwa dau la £17M .

John Arias ni moja ya nyota wachache waliofanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa dunia pale Marekani akiisaidia timu yake Fluminense kufika hatua nzuri ya nusu fainali.

#SportsElite

๐Ÿšจ | CONFIRMED โœ… Wolves imekamilisha usajili wa nyota wa Fluminense, John Arias kwa dau la £17M . John Arias ni moja ya nyota wachache waliofanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa dunia pale Marekani akiisaidia timu yake Fluminense kufika hatua nzuri ya nusu fainali. #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท52 Views