Bodi ya Utalii ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ipo kwenye mazungumzo na Fc Barcelona kwaajili ya kutangaza utalii kupitia klabu hiyo.
Mundo Derpotivo imeripoti kuwa makubaliano kati ya Barcelona na DRC yapo katika hatua za mwisho.
Barcelona itavuna kiasi cha €44m (Tshs Bilioni 133) kutokana na udhamini huo ambao Barcelona watatumia jezi za mazoezi zenye neno la Visit DRC Mgongoni kwa kipindi cha miaka minne.
#SportsElite

🚨Bodi ya Utalii ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 ipo kwenye mazungumzo na Fc Barcelona 🇪🇸 kwaajili ya kutangaza utalii kupitia klabu hiyo.
Mundo Derpotivo imeripoti kuwa makubaliano kati ya Barcelona na DRC 🇨🇩 yapo katika hatua za mwisho.
Barcelona itavuna kiasi cha €44m (Tshs Bilioni 133) kutokana na udhamini huo ambao Barcelona watatumia jezi za mazoezi zenye neno la Visit DRC Mgongoni kwa kipindi cha miaka minne.
#SportsElite
0 Reacties
·0 aandelen
·114 Views