HERE WE GO! 鈿★笍 Mchezaji wa kimataifa wa Kenya, Aldrine Kibet, amejiunga na klabu ya Celta Vigo ya Uhispania kwa mkataba utakaodumu hadi mwaka 2029.

Kibet anatarajiwa kuanza kwa kuwakilisha Celta Fortuna, timu ya pili ya Celta Vigo, huku akipanda ngazi taratibu kuelekea kikosi cha kwanza.

#SportsElite
馃毃HERE WE GO! 鈿★笍 Mchezaji wa kimataifa wa Kenya, Aldrine Kibet, amejiunga na klabu ya Celta Vigo ya Uhispania kwa mkataba utakaodumu hadi mwaka 2029. 馃嚢馃嚜 Kibet anatarajiwa kuanza kwa kuwakilisha Celta Fortuna, timu ya pili ya Celta Vigo, huku akipanda ngazi taratibu kuelekea kikosi cha kwanza. #SportsElite
0 Commentarios 0 Acciones 40 Views