𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜

Paris Saint-Germain (PSG) wamemsajili kipa wa Kiitaliano Renato Marin kutoka AS Roma kwa uhamisho huru.

Renato Marin amesaini mkataba wa miaka 5 utakaomuweka klabuni hadi mwaka 2030. ✍🏻

#SportsElite
𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜 ✅ Paris Saint-Germain (PSG) wamemsajili kipa wa Kiitaliano Renato Marin kutoka AS Roma kwa uhamisho huru.🔵🔴🇮🇹 Renato Marin amesaini mkataba wa miaka 5 utakaomuweka klabuni hadi mwaka 2030. ✍🏻📝🆓 #SportsElite
0 Kommentare ·0 Anteile ·29 Ansichten