𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! AS Roma imekamilisha uhamisho wa kiungo Neil El Aynaoui kutoka Lens

Ada ya uhamisho ikiwa ni €23m na nyongeza ya €2m kiungo huyo wa Morocco atasafiri kuelekea Roma Jumamosi hii kwaajili ya vipimo vya afya na mkataba wa miaka 5..

#SportsElite
🚹 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! AS Roma imekamilisha uhamisho wa kiungo Neil El Aynaoui kutoka Lens â€ïžđŸ’›đŸ‡Č🇩 Ada ya uhamisho ikiwa ni €23m na nyongeza ya €2m kiungo huyo wa Morocco atasafiri kuelekea Roma Jumamosi hii kwaajili ya vipimo vya afya na mkataba wa miaka 5.. #SportsElite
0 Commentaires ·0 Parts ·14 Vue