Klabu ya Napoli ya nchini Italy imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Noa Lang (26) akitokea PSV ya nchini uholanzi.
Noa Lang ni moja ya wachezaji wenye uwezo mkubwa sana na kipaji kikubwa akifanikiwa kufunga magoli 15 na kutoa pasi za magoli 12 msimu uliopita akiwa na PSV pamoja na timu ya taifa.
#SportsElite

🚨Klabu ya Napoli ya nchini Italy imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Noa Lang (26) akitokea PSV ya nchini uholanzi.
Noa Lang ni moja ya wachezaji wenye uwezo mkubwa sana na kipaji kikubwa akifanikiwa kufunga magoli 15 na kutoa pasi za magoli 12 msimu uliopita akiwa na PSV pamoja na timu ya taifa.
#SportsElite
0 Commentarii
·0 Distribuiri
·22 Views