Mshambuliaji kinda mwenye umri wa miaka 19, Nestory Irankunda amejiunga na Klabu ya Watford FC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Uingereza akitokea Bayern Munich kwa dau la Euro Milioni 4 ambayo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 12 za Kitanzania kwa Mkataba wa Miaka minne wenye kipengele cha kupata asilimia 50 ya mauzo yake.

Irankunda ni mzaliwa wa Kigoma Tanzania kwenye kambi ya Wakimbizi kutoka kwa Wazazi wakimbizi kutoka Burundi huku yeye akiwa na uraia wa Australia .

#SportsElite
Mshambuliaji kinda mwenye umri wa miaka 19, Nestory Irankunda amejiunga na Klabu ya Watford FC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Uingereza akitokea Bayern Munich kwa dau la Euro Milioni 4 ambayo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 12 za Kitanzania kwa Mkataba wa Miaka minne wenye kipengele cha kupata asilimia 50 ya mauzo yake. Irankunda ni mzaliwa wa Kigoma Tanzania 🇹🇿 kwenye kambi ya Wakimbizi kutoka kwa Wazazi wakimbizi kutoka Burundi 🇧🇮 huku yeye akiwa na uraia wa Australia 🇦🇺. #SportsElite
0 Комментарии ·0 Поделились ·120 Просмотры