Manchester City imeafikiana na FC Porto kumsajili kipa Diogo Costa kwa €65 milioni pamoja na nyongeza ya hadi €10 milioni. Mkataba huu umefuatia makubaliano ya awali yaliyofikiwa wiki chache zilizopita.

Nyota mpya namba moja anawasili Etihad!

#SportsElite
Manchester City imeafikiana na FC Porto kumsajili kipa Diogo Costa kwa €65 milioni pamoja na nyongeza ya hadi €10 milioni. Mkataba huu umefuatia makubaliano ya awali yaliyofikiwa wiki chache zilizopita. Nyota mpya namba moja anawasili Etihad! #SportsElite
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·15 Visualizações