Inaelezwa kuwa Mshahara wa nyota mpya wa Young Africans Sports Club Moussa Balla Conte ni USD 12K sawa na zaidi ya Tsh million 31.4 Kwa mwezi ambao utapanda hadi USD 14K sawa zaidi ya Tsh million 37 kwenye mwaka wake wa mwisho wa mkataba.
Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia wananchi akitokea CS Sfaxien ya nchini Tunisia.
Kwa Sasa ni dhahili shahili Wachezaji wengi watapenda kuja kucheza Tz maana Pesa iko..
#SportsElite

0 التعليقات
·0 المشاركات
·30 مشاهدة