Achana na Andre onana kule nyuma aliyepiga goti, achana na Bernado silva, ebu mtazame huyo namba 47 Phill Foden...
Kwa nini dunia , kwa nini mpira, kwa nini iwe kwa Phill Foden ?
Labda ni wapi alipoikosea dunia Foden ? Wapi alipoteleza kijana wa Malkia ?
Binafsi naamini katika wachezaji watatu bora wa pembeni wa kiingereza Foden ni mmoja wao..
Achana na yule Foden wa mashindano ya Euro kule Germany, ebu mtazame Foden wa Pep Guardiola akiwa pale City the dream...
Mimi ukiniuliza unaona nini kwa Phill Foden, jibu langu litakuwa Foden atakuwa Ballond'ior winner siku moja...
Utakataa labda kwa sababu hayupo Kwenye timu yako pendwa, hayupo Kwenye timu inayopigiwa promo Kwenye vyombo vya habari...
Ila Phill Foden ni kipaji haswa cha mpira wa miguu, amekuja kuzibariki nyasi za mpira pale Uingereza...
#SportsElite

0 Commentaires
·0 Parts
·51 Vue