... Mpaka sasa, Young Africans Sports Club wameshatumia zaidi ya Billion moja kwenye usajili wa wachezaji watatu wa kimataifa.

鈻笌Celestine Ecua zaidi ya 300 Million zimetumika.

鈻笌Mousa Balla Conte amewalaza Yanga pesa ambazo hazipungui 500 Million. Hapo ni hela ya kuvunjia mkataba pamoja na signing-on-fee. Japo Signing fee huwa inaweza kulipwa kwa awamu. Inategemeana na makubaliano yao.

鈻笌Mohammed Doumbia amewagharimu Yanga kiasi kisichopungua 250 Million (Signing fee).

#SportsElite
馃檰‍鈾傦笍... Mpaka sasa, Young Africans Sports Club wameshatumia zaidi ya Billion moja kwenye usajili wa wachezaji watatu wa kimataifa. 鈻笌Celestine Ecua zaidi ya 300 Million zimetumika. 鈻笌Mousa Balla Conte amewalaza Yanga pesa ambazo hazipungui 500 Million. Hapo ni hela ya kuvunjia mkataba pamoja na signing-on-fee. Japo Signing fee huwa inaweza kulipwa kwa awamu. Inategemeana na makubaliano yao. 鈻笌Mohammed Doumbia amewagharimu Yanga kiasi kisichopungua 250 Million (Signing fee). #SportsElite
0 Commentarios 0 Acciones 36 Views