Chelsea kwa sasa wanania ya dhati kumsajili Xavi Simons kutoka RB Leipzig. Mazungumzo yameanza kati ya Klabu na mchezaji ili kufikia makubaliano ya Kibinafsi hakuna mazungumzo ya Vilabu kwa Vilabu.

Arsenal bado wanavutiwa nae ila Chelsea ndio pekee wamefanya jitihada za kumtafuta. Bayern Munich wamejitoa kwenye kinyang'anyiro ila Xavi Simons tayari amewafahamisha Leipzig anataka kuondoka.

#SportsElite
๐Ÿšจ Chelsea kwa sasa wanania ya dhati kumsajili Xavi Simons kutoka RB Leipzig. Mazungumzo yameanza kati ya Klabu na mchezaji ili kufikia makubaliano ya Kibinafsi hakuna mazungumzo ya Vilabu kwa Vilabu. Arsenal bado wanavutiwa nae ila Chelsea ndio pekee wamefanya jitihada za kumtafuta. Bayern Munich wamejitoa kwenye kinyang'anyiro ila Xavi Simons tayari amewafahamisha Leipzig anataka kuondoka. #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท15 Views