DONE DEAL - Man United imekamilisha usajili wa Bryan Mbeumo kutoka Brentford kwa ada ya €82m na mkataba wa miaka sita hadi June 2031.

🎙"Nilipojua tu kuwa kuna nafasi ya kujiunga na Manchester United, ilibidi nichukue nafasi hiyo ili kusaini Klabu ya ndoto Yangu" 🗣 Bryan Mbeumo.

#SportsElite
🚨 DONE DEAL - Man United imekamilisha usajili wa Bryan Mbeumo kutoka Brentford kwa ada ya €82m na mkataba wa miaka sita hadi June 2031. ❤️🎙"Nilipojua tu kuwa kuna nafasi ya kujiunga na Manchester United, ilibidi nichukue nafasi hiyo ili kusaini Klabu ya ndoto Yangu" 🗣 Bryan Mbeumo. #SportsElite
0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·49 Views