Real Madrid wanatafuta kiungo na wameelekeza macho yao kwa Rodri wa Manchester City, aidha msimu huu wa joto au mwaka 2026.

Klabu hiyo iko tayari kutoa kiasi cha €100 milioni kumvutia nyota huyo kujiunga nao.

#SportsElite
Real Madrid wanatafuta kiungo na wameelekeza macho yao kwa Rodri wa Manchester City, aidha msimu huu wa joto au mwaka 2026. Klabu hiyo iko tayari kutoa kiasi cha €100 milioni kumvutia nyota huyo kujiunga nao. #SportsElite
0 Commenti ·0 condivisioni ·32 Views