BREAKING: Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo namba 10 wa Stade Malien,Raia wa Mali Lassine Kouma (21)
Simba walikuwa wa kwanza kuzungumza na Lassine Kouma,Kisha kinda huyo akampigia Simu Diarra ili kujua mazingira ya Tanzania,baada ya Diarra kujua kinda huyo hatari anaelekea Simba akamwambia Eng Heris aingilie haraka na mchakato wa kumsaini kuja Yanga ukaanza rasmi na Leo jioni kila kitu kimekamilika….Lassine Kouma Is now green & Yellow
#SportsElite

BREAKING: Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo namba 10 wa Stade Malien,Raia wa Mali ๐ฒ๐ฑ Lassine Kouma (21)โ
Simba walikuwa wa kwanza kuzungumza na Lassine Kouma,Kisha kinda huyo akampigia Simu Diarra ili kujua mazingira ya Tanzania,baada ya Diarra kujua kinda huyo hatari anaelekea Simba akamwambia Eng Heris aingilie haraka na mchakato wa kumsaini kuja Yanga ukaanza rasmi na Leo jioni kila kitu kimekamilika….Lassine Kouma Is now green & Yellow
#SportsElite
0 Comments
ยท0 Shares
ยท13 Views