Kocha wa Real Madrid Xabi Alonso ameuambia uongozi kuwa Brahim Diaz hatokuwa mchezaji anaeanza kwenye kikosi chake kuanzia msimu ujao.

Ni wakati sahihi kabisaa wa fundi Brahim Diaz kwenda kutafta malisho nje ya Real Madrid kwangu mm naona ni wakati umefika Mara baada ya Kocha mkuu wa klabu hiyo kuuwambia uongozi kuwa hatokuwa mchezaji wake ambae anamtegemea kwenye kikosi chake.

#SportsElite
Kocha wa Real Madrid Xabi Alonso ameuambia uongozi kuwa Brahim Diaz hatokuwa mchezaji anaeanza kwenye kikosi chake kuanzia msimu ujao. Ni wakati sahihi kabisaa wa fundi Brahim Diaz kwenda kutafta malisho nje ya Real Madrid kwangu mm naona ni wakati umefika Mara baada ya Kocha mkuu wa klabu hiyo kuuwambia uongozi kuwa hatokuwa mchezaji wake ambae anamtegemea kwenye kikosi chake. #SportsElite
0 Comments ·0 Shares ·46 Views