Manchester united wanafuatilia kwa ukalibu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa RB Leipzig, Benjamin Sesko (22).

Msimu uliopita Sesko akiwa na Leipzig kwenye mashindano yote alifanikiwa kufunga magoli 21 akitoa pasi 6 za magoli.

#SportsElite
Manchester united wanafuatilia kwa ukalibu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa RB Leipzig, Benjamin Sesko (22). Msimu uliopita Sesko akiwa na Leipzig kwenye mashindano yote alifanikiwa kufunga magoli 21 akitoa pasi 6 za magoli. #SportsElite
0 Commentaires ·0 Parts ·52 Vue