RASMI

Nathan Ngoy ajiunga rasmi na LOSC Lille kutoka Standard Liège kwa dau la €4.5M.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 22 amesaini mkataba wa miaka minne na klabu hiyo ya Ufaransa.

#SportsElite
📢 RASMIâś… Nathan Ngoy ajiunga rasmi na LOSC Lille kutoka Standard Liège kwa dau la €4.5M. 🔴⚪ Beki huyo mwenye umri wa miaka 22 amesaini mkataba wa miaka minne na klabu hiyo ya Ufaransa. ✍️💪 #SportsElite
0 Commentaires ·0 Parts ·161 Vue