Cyril Ngonge amejiunga na klabu ya Torino kwa mkopo kutoka Napoli hadi mwisho wa msimu.

Mkataba unahusisha ada ya mkopo ya €1M na kipengele cha kumnunua cha €17M mwishoni mwa msimu.

#SportsElite
🆕 Cyril Ngonge amejiunga na klabu ya Torino kwa mkopo kutoka Napoli hadi mwisho wa msimu. 🤝🔴⚫ Mkataba unahusisha ada ya mkopo ya €1M na kipengele cha kumnunua cha €17M mwishoni mwa msimu. ✍️ #SportsElite
0 Commenti ·0 condivisioni ·139 Views