BREAKING : FC Barcelona wamejipanga kimkakati kuhakikisha wanamsajili Beki kitasa wa Liverpool FC raia wa Ufaransa Ibrahima Konaté katika dirisha hili la usajili.

FC Barcelona wanaamini ofa waliyoiandaa, haiwezi kataliwa na Liverpool FC

#SportsElite
BREAKING ๐Ÿ”ด: FC Barcelona wamejipanga kimkakati kuhakikisha wanamsajili Beki kitasa wa Liverpool FC raia wa Ufaransa ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ต Ibrahima Konaté katika dirisha hili la usajili. FC Barcelona wanaamini ofa waliyoiandaa, haiwezi kataliwa na Liverpool FC #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท12 Views