RB Leipzig imefikia makubaliano na mshambuliaji Romulo.

Klabu ya Göztepe inahitaji €25M.

Pamoja na hayo RB Leipzig inatarajia kumuuza Benjamin Sesko kwanza kabla ya kufanya uhamisho huo..

(Source: @Plettigoal & @philipphinze24)

#SportsElite
🚨 RB Leipzig imefikia makubaliano na mshambuliaji Romulo. Klabu ya Göztepe inahitaji €25M. Pamoja na hayo RB Leipzig inatarajia kumuuza Benjamin Sesko kwanza kabla ya kufanya uhamisho huo.. (Source: @Plettigoal & @philipphinze24) #SportsElite
0 Reacties ·0 aandelen ·7 Views