BREAKING

Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake.

Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M.

Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2.

#SportsElite
๐Ÿšจ BREAKING Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake. Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M. Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2. #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท7 Views