RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! ⚽️

Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania!

Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali?
Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! ⚽️

Source:- Micky Jnr African Football Journalist

#SportsElite
🚨🚨 RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯⚽️ πŸ”Έ Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania! πŸ€” Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali? πŸ¦πŸŸ’πŸ”΅ Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! 🌍⚽️ Source:- Micky Jnr African Football Journalist #SportsElite
0 Comments Β·0 Shares Β·3 Views