Crystal Palace wako tayari kutoa ofa ya £27.6M ili kukamilisha uhamisho wa Yann Bisseck kutoka Inter.

Na atakuwa mbadala wa Marc Guehi ambae bado anawindwa na Liverpool.

(Source: Gazzetta dello Sport)

#SportsElite
🚨 Crystal Palace wako tayari kutoa ofa ya £27.6M ili kukamilisha uhamisho wa Yann Bisseck kutoka Inter. Na atakuwa mbadala wa Marc Guehi ambae bado anawindwa na Liverpool. (Source: Gazzetta dello Sport) #SportsElite
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·14 Visualizações