Nyota wa Newcastle united Alexander Isak anafanya mazoezi katika vituo vya klabu yake ya zamani ya Real Sociedad huku akiuguza jeraha dogo la paja.

Hadi kufikia sasa mustakabali wake na Newcastle bado haujulikani baada ya Isak kuweka wazi kuwa anataka kuondoka klabuni hapo.

(Chanzo: Daily Mail Sport)

#SportsElite
🚨🚨Nyota wa Newcastle united Alexander Isak anafanya mazoezi katika vituo vya klabu yake ya zamani ya Real Sociedad huku akiuguza jeraha dogo la paja. Hadi kufikia sasa mustakabali wake na Newcastle bado haujulikani baada ya Isak kuweka wazi kuwa anataka kuondoka klabuni hapo. (Chanzo: Daily Mail Sport) #SportsElite
0 Reacties ·0 aandelen ·12 Views