Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano ya kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 40 akitokea Ajax Amsterdam ya Nchini Uholanzi.

Hato (19) raia wa Uholanzi ambaye anamudu kucheza kama beki wa kati na beki wa kushoto amekubali kusaini mkataba wa miaka 7 utakaombakisha klabuni hapo mpana Juni 2032.

#SportsElite
🚨🚨Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano ya kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 40 akitokea Ajax Amsterdam ya Nchini Uholanzi. Hato (19) raia wa Uholanzi ambaye anamudu kucheza kama beki wa kati na beki wa kushoto amekubali kusaini mkataba wa miaka 7 utakaombakisha klabuni hapo mpana Juni 2032. #SportsElite
0 Комментарии ·0 Поделились ·21 Просмотры