Обновить до Про

Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji Hussein Daudi Semfuko (21) raia wa Tanzania kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Coastal Union

#SportsElite
🚨🚨Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji Hussein Daudi Semfuko (21) raia wa Tanzania kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Coastal Union #SportsElite
·713 Просмотры