Man United Imewafahamisha RB Leipzig kuwa wako tayari kutuma Ofa rasmi kwa Benjamin Sesko ikiwa mchezo atakuwa tayari kujiunga na klabu yao.

Newcastle United pia wako tayari kuwasilisha ofa yao kwa Sesko ila Uamuzi sasa ni kwa Sesko mwenyewe.

Source Fabrizio Romano

#SportsElite
๐Ÿ’ฐ๐Ÿšจ Man United Imewafahamisha RB Leipzig kuwa wako tayari kutuma Ofa rasmi kwa Benjamin Sesko ikiwa mchezo atakuwa tayari kujiunga na klabu yao. Newcastle United pia wako tayari kuwasilisha ofa yao kwa Sesko ila Uamuzi sasa ni kwa Sesko mwenyewe. Source Fabrizio Romano #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท22 Views