Kelvin John mtanzania anaecheza Ligi kuu ya Denmark katika timu ya Aalborg fc ni kinara wa upachikaji mabao katika ligi hiyo baada ya kufunga tena leo magori mawili. Baada ya mpira kuisha mashabiki uwanja mzima wameiba jina lakee wakiita "Tanzanian John Kelvin John John John" Hongera kwake kwa kuiwakilisha vyema bendera ya Tanzania.

#sportselite
Kelvin John mtanzania anaecheza Ligi kuu ya Denmark katika timu ya Aalborg fc ni kinara wa upachikaji mabao katika ligi hiyo baada ya kufunga tena leo magori mawili. Baada ya mpira kuisha mashabiki uwanja mzima wameiba jina lakee wakiita "Tanzanian John Kelvin John John John" ๐Ÿ‘๐Ÿ‘ Hongera kwake kwa kuiwakilisha vyema bendera ya Tanzania. #sportselite
0 Comments ยท0 Shares ยท18 Views