𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Nottingham Forest imemrudisha mchezaji wake wa zamani kwenye Timu ya wa awake Chantelle Boye-Hlorkah kwa mkataba hadi Juni 2027.

Amejiunga na klabu baada ya mkataba wake kutamatika London City Lionesses..

#SportsElite
🚨🇬🇭 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Nottingham Forest imemrudisha mchezaji wake wa zamani kwenye Timu ya wa awake Chantelle Boye-Hlorkah kwa mkataba hadi Juni 2027. Amejiunga na klabu baada ya mkataba wake kutamatika London City Lionesses.. #SportsElite
0 Commentarii ·0 Distribuiri ·35 Views