Klabu ya Singida Black Stars imekamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Congo DR Malanga Horso Mwaku (21).

Tayari ameshawaaga FC Lupopo , Mkataba wa miaka 3 umesainiwa tayari .

Muda wowote kuanzia sasa kuwasili Tanzania ili kujiunga na waajiri wake hao wapya .

#SportsElite
🚨🚨Klabu ya Singida Black Stars imekamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Congo DR Malanga Horso Mwaku (21). Tayari ameshawaaga FC Lupopo , Mkataba wa miaka 3 umesainiwa tayari . Muda wowote kuanzia sasa kuwasili Tanzania ili kujiunga na waajiri wake hao wapya . #SportsElite
0 Reacties ·0 aandelen ·30 Views