𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Jadon Sancho amekataa uhamisho wake kwenda Beşiktaş, na hayuko tayari kwenda kucheza ligi ya Uturkey.

Juventus na Dortmund bado wanamfukuzia mchezaji huyo.

(Source: @berger_pj)

#SportsElite
🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Jadon Sancho amekataa uhamisho wake kwenda Beşiktaş, na hayuko tayari kwenda kucheza ligi ya Uturkey. Juventus na Dortmund bado wanamfukuzia mchezaji huyo. (Source: @berger_pj) #SportsElite
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·20 Visualizações