Crystal Palace inapanga kukamilisha usajiri kabla ya dirisha kufungwa na tayari wamegonga hodi kwa Liverpool kumpata kiungo Harvey Elliott.

Liverpool wanahitaji karibu £40M au ifanyike mabadiilishano kati ya Marc Guehi na Harvey Elliott....

(Source: Sun Sport)

#SportsElite
🚨 Crystal Palace inapanga kukamilisha usajiri kabla ya dirisha kufungwa na tayari wamegonga hodi kwa Liverpool kumpata kiungo Harvey Elliott. Liverpool wanahitaji karibu £40M au ifanyike mabadiilishano kati ya Marc Guehi na Harvey Elliott.... (Source: Sun Sport) #SportsElite
0 التعليقات ·0 المشاركات ·79 مشاهدة