Klabu ya NEOM ya Saudi Arabia inatarajia kumsajili aliyekuwa mchezaji wa Marseille , Pape Gueye, kulingana na taarifa za RMC Sport. Kiungo huyo wa Villarreal tayari amewasiliana kwa mara ya kwanza na viongozi wa klabu hiyo mpya iliyopanda daraja kwenye Saudi Pro League.

#SportsElite
💦Klabu ya NEOM ya Saudi Arabia 🇸🇦 inatarajia kumsajili aliyekuwa mchezaji wa Marseille 🇫🇷, Pape Gueye, kulingana na taarifa za RMC Sport. Kiungo huyo wa Villarreal 🇪🇸 tayari amewasiliana kwa mara ya kwanza na viongozi wa klabu hiyo mpya iliyopanda daraja kwenye Saudi Pro League. #SportsElite
0 Commentarios ·0 Acciones ·17 Views